Mfano Wa Katiba - Ya Kikundi Cha Familia Link

Mwanachama mwenyewe akifariki, kikundi kitatoa TZS [Weka kiasi] kwa familia yake kusaidia mazishi.

Kila mwanachama ana haki ya kufaidika na misaada na mikopo kulingana na vigezo vitakavyowekwa.

SURA YA TISA: MAREKEBISHO YA KATIBA NA KUVUNJIKA KWA KIKUNDI 9.1 Marekebisho ya Katiba